• HABARI MPYA

    Thursday, April 05, 2012

    UHURU SULEIMAN MWAMBUNGU NDANI YA SETIF AKIJIFUA KWENYE BARIDI KALI

    Kiungo wa Simba Uhuru Suleiman akiwa maeozini na klabu yake mjini Setif kujiandaa na mechi dhidi ya wenyeji ES Setif, Kombe la Shirikisho. Uhuru amesema hali ya hewa ni baridi kali mjini humo kiasi kwamba wanaipata fresh. Hata hivyo, amesema wanaendelea vizuri na wanamini watawatoa wenyeji.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UHURU SULEIMAN MWAMBUNGU NDANI YA SETIF AKIJIFUA KWENYE BARIDI KALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top