Heshima za mwisho. Picha zote na Mpiga Picha wa
Habari Mseto Blog.
Haruna Moshi akitoa heshima za mwisho.
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja akitoa heshima za
mwisho.
Emmanuel Okwi akitoa heshima za mwisho.
Makocha wa Stars, Silvester
Marsh na Kim Poulsen wakati wa ibada ya kuaga mwli wa Mafisango.
Katibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa akitoa
salamu wakati wa kuaga mwili wa marehemu, Mafisango.
Mamia ya wadau wa Soka wakiwa wamekusanyika
katuika viwanja vya Sigara TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es Salaam kuaga mwili
wa aliyekuwa kiungo wa Simba. Patrick Mafisango mchana huu.
Askari wa Usalama Barabarani akiongoza msafara
wakati mwili wa marehemu, Mafisango ulikiwasili katika viwanja vya TCC
Club.
Mlezi wa klabu ya simba, Prof. Philimon Sarungi akimfariji Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage.
Boban akiwa na huzuni.
Mwenyekiti wa Simba Ismail Rage akisoma wasifu
wa marehemu.
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa
marehemu, Patrick Mafisango.
Kocha wa Simba akitoa heshima za mwisho.
0 comments:
Post a Comment