• HABARI MPYA

    Saturday, May 12, 2012

    MECHI YA TWIGA STARS NA ZIMBABWE YAENDELEA KWENYE MVUA KALI

    Benchi la wachezaji wa akiba wa timu ya taifa ya soka ya wanawake, Twiga Stars wakiimba wimbo wa taifa huku wakinyeshewa na mvua 

    Manahodha wa Twiga Stars Asha Said 'Mwalala' kushoto na mwenzake wa Zimbambwe wakisalimiana kabla ya mechi. 


    Kikosi cha Twiga Stars

    Kikosi cha Zimbabwe

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MECHI YA TWIGA STARS NA ZIMBABWE YAENDELEA KWENYE MVUA KALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top