• HABARI MPYA

    Thursday, May 03, 2012

    WAZAZI WAITIA MKONONI NDOA YA ROSE NDAUKA


    George Kayala na Gladness Mallya
    KIZA kinene kimetanda kwenye siku, tarehe au mwezi wa kufungwa kwa ndoa ya msanii anayefanya vizuri kwenye gemu la sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na mchumba wake, Malick Bandawe.
    Akizungumza na safu hii hivi karibuni ndani ya ofisi ya Ndauka Entertainment iliyopo Mwananyamala jijini Dar, Malick alisema hatima ya ndoa yao ipo mikononi mwa wazazi wao ambao ndiyo wanaojua tarehe na mwezi wa kufungwa.
    “Mimi binafsi si msemaji wa familia yangu, lakini ukweli ni kwamba wao ndiyo wanajua tarehe na mwezi na wakati utakapofika naamini watu wote watajua,” alisema Malick.
    Hata hivyo, mume huyo mtarajiwa alisema anachojua yeye ndoa hiyo itafungwa mwaka huu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZAZI WAITIA MKONONI NDOA YA ROSE NDAUKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top