• HABARI MPYA

    Thursday, June 21, 2012

    SBL YAWEZESHA MRADI WA MAJI WA MAMILIONI IRINGA, MKUU WA WILAYA AUZINDUA LEO

    Bango la mradi wa maji uliodhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), katika kisima kilichojengwa kwenye hospitali ya Wilaya ya Manispaa ya Iringa, eneo la Frelimo mkoani Iringa. Mradi huo umezinduliwa leo na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Bi Leticia Warioba.

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini, Leticia Warioba katikati akihutibia katika Hospitali ya Wilaya ya Manispaa ya Iringa kutoa shukrani kwa SBL kwa kudhamini mradi huo uliogharimu Sh Milioni 50.

    Wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Manispaa ya Iringa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya baada ya uzinduzi wa kisima

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda kulia akipongezana na Mkuu wa WIlaya ya Iringa Mjini, Leticia Warioba baada ya zoezi la uzinduzi wa kisima hicho. Kushoto ni Meya wa Manispaaa ya Iringa, Amani Mwamwindi. 

    Teddy na Mkuu wa Wilaya kulia wakipagta chakula cha mchana baada ya kuzindua kisima

    Teddy mapunda akimuelekeza jambo Mkuu wa Wilaya, Leticia kuhusu mradi huo. 

    Teddy kulia akimuongoza Mkuu wa Wilaya katika zoezi la uzinduzi wa kisima hicho 

    Uzindhuzi

    Mkuu wa Wilaya anafungua maji

    Anamtwisha  ndoo ya maji mwananchi wa eneo hilo, ambao nao watanufaika na mradi huo

    Huree; SBL oyee; Tayari ndoo ipo kichwani. asante Serengeti Breweries Limited

    Teddy akicheza ngoma ya Lizombe kusherehekea uzinduzi wa mradi huo

    Teddy akihutubia wananchi kuelezea kuhusu mradi huo 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SBL YAWEZESHA MRADI WA MAJI WA MAMILIONI IRINGA, MKUU WA WILAYA AUZINDUA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top