• HABARI MPYA

    Friday, July 06, 2012

    MTAKATIFU THOM ASAINI MIAKA MIWILI YANGA, ASEMA HAKUJA KULA BATA, AMEKUJA KUPIGA KAZI

    Kocha mpya wa Yanga, Thom Saintfiet jioni hii amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha klabu hiyo na baada ya kusaini, akasema hakuja Tanzania ‘kustarehe’ amekuja kufanya kazi na sera yake ni ushindi. Anataka ushindi na mataji. Amesema jaribio lake la kwanza ni kutetea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, katika michuano inayoanza Julai 14, Dare s Salaam (Habari kamili baadaye). Tazama picha za kusaini kwake Mkataba makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam.
    Kulia ni Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa, katikati Thom anasaini. Kushoto The Don Seif Ahmad 'Magari'



    Don mwingine wa Yanga, Abdallah Bin Kleb









    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTAKATIFU THOM ASAINI MIAKA MIWILI YANGA, ASEMA HAKUJA KULA BATA, AMEKUJA KUPIGA KAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top