• HABARI MPYA

    Sunday, October 14, 2012

    MASHALI ULINGONI NA MGANDA LEO MANZESE

    Kulia ni Thomas Mashali wa Tanzamia na kushoto ni Sebyala Meddy wa Uganda wakiwa na rais wa ECAPBA, Onesmo Ngowi wakati wa kupima uzito jana kwa ajili ya pambano la leo kwenye ukumbi wa Friends Corner, Manzese, Dar es Salaam.

    Kushoto ni Thomas Mashali wa Tanzamia na kulia ni Sebyala Med wa Uganda wakiwa na rais wa ECAPBA Onesmo Ngowi wakati wa kupima uzito jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MASHALI ULINGONI NA MGANDA LEO MANZESE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top