• HABARI MPYA

    Wednesday, October 03, 2012

    SIMBA B MABINGWA WA KOMBE LA BANC ABC CHUPUCHUPU KWA YANGA B TAIFA


    Yanga B imeshindwa kuwatilia baraka kaka zao, kuelekea mchezo wa jioni, baada ya kuwaruhusu mabingwa wa Kombe la BancABC Sup8R, Simba B, inayofundishwa na Suleiman Matola, akisaidiwa na Amri Said kutoka nyuma kwa mabao 2-0 na kupata sare ya 2-2. Mabao ya Yanga B inayofundishwa na kocha wake, Salvatory Edward akisaidiwa na Abubakar Salum yamefungwa na Kelvin Nkini kipindei cha kwanza na Notikel Masasi kipindi cha pili, wakati ya Simba yalifungwa na Miraj Athumani na Omar Salum dakika za lala salama. 









    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA B MABINGWA WA KOMBE LA BANC ABC CHUPUCHUPU KWA YANGA B TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top