• HABARI MPYA

    Thursday, November 08, 2012

    BALOZI WA HENNESSY KUTUA JUMATATU KUTOKA PARIS

    Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya ujio wa Balozi wa kampuni ya Hennessy, bwana Cyrille Auriol, maandalizi ya mapokezi yake yamepamba moto. Balozi Auriol atatua Dar es Salaam jumatatu akitokea Paris kwa ziara ya siku tatu kabla ya kuelekea Nairobi kwa muendelezo wa ziara yake nchi za Afrika Mashariki.
    Akiwa Dar es Salaam Balozi Auriol atahudhuria matukio mbalimbali
    maalum ya chakula cha jioni na uonjaji wa kinywaji hicho ambazo
    zimeandaliwa ili kuwazawadia watumiaji wa kinywaji hicho nchini ambao sasa wanafurahia kampeni ya kinywaji hicho iitwayo ‘ Flaunt Your Taste’.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BALOZI WA HENNESSY KUTUA JUMATATU KUTOKA PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top