// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM ILIVYOTETEA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU HUU AMAAN - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM ILIVYOTETEA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU HUU AMAAN - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, January 13, 2013

        AZAM ILIVYOTETEA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU HUU AMAAN

        Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Mapinduzi, Nahodha wa Azam FC, Himid Mao Mkami usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar baada ya timu hiyo kutwaa taji hilo kwa kuifunga Tusker FC ya Kenya mabao 2-1 ndani ya dakika 120.

        Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akigombea mpira na beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
        Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akimtoka mpira na beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 

        Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akikimbia na mpira dhidi ya beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
        Mwaikimba akifumua shuti
        Mshambuliaji wa Azam FC, Seif Abdallah akimiliki mpira mbele ya beki wa Tusker FC, Bright Jeremiah katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
        Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
        Shuti la bao, Mwaikimba akiwa amefumua shuti kuifungia Azam bao la ushindi
        Wachezaji majeruhi wa Azam, John Bocco 'Adebayor' kushoto na Abdulhalim Humud 'Gaucho' kulia wakiingia uwanjani leo
        Mpira uko nyavuni, mkwaju wa Penalti wa Joackins Atudo umetinga kimiani kuipatia Azam bao la kusawazisha huku kipa Samuel Odhiambo akigagaa chini 
        Hongera shujaa Mwaikimba, wachezaji wa Azam wakimpongeza mfungaji wa bao lao la ushindi
        Kikosi cha ubingwa leo
        Washindi wa pili Tusker FC kikosi chao cha leo
        Nahodha Himi Mao akiinua juu burungutu la fedha, Sh. Milioni 10 za ubingwa 
        Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akimkabidhi donge nono la Sh. 300,000 mfungaji bora wa Kombe la Mapinduzi, Jesse Were wa Tusker FC aliyemaliza na mabao matano usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

        Binti aliyevamia uwanjani dakika ya 89 akitolewa nje na askari Polisi

        Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akimkabidhi Kombe la ushindi wa pili wa Mapinduzi, Nahodha wa Tusker FC, Joseph Shikokoti usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

        Polisi wakimtoa nje binti aliyevamia uwanjani dakika ya 89

        Azam wakisherehekea na Kombe lao

        Mwaikimba akifuaria na mashabiki Kombe lililotokana na juhudi zake 
        Azam wakisherehekea na Kombe lao
        Brian Umony wa Azam amemuacha chini Joseph Shikokoti wa Tusker FC
        Umony na Shikokoti
        Mwaikimba aliyeruka hewani kuiga kichwa kwenye lango la Tusker kufuatia mpira wa kona
        Mwaikimba mawindoni


        Mwaikimba mbele ya Shikokoti

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: AZAM ILIVYOTETEA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU HUU AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry