• HABARI MPYA

    Wednesday, January 16, 2013

    MANJI NAYE ACHUKUA FOMU TFF, KUMEKUCHA


    Manji anazungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuchukua fomu

    Mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangenzi ‘Zamunda’ akimchukulia fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu kwa niaba ya klabu za Ligi Kuu zilizompendekeza, Mwenyekiti wa Yanga SC, Yusuf Mehbub Manji (kulia) ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ilala, Dar es Salaam mida hii, kuelekea uchaguzi utakaofanyika Februari 24, mwaka huu mjini Dar es Salaam. Anayetoa fomu hiyo kushoto ni Ofisa wa TFF, Jonathan Aloyce Kakwaya.   

    Zamunda anamkabidhi fomu yake Manji
    Mhasibu wa TFF anamuandikia Manji risiti
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MANJI NAYE ACHUKUA FOMU TFF, KUMEKUCHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top