• HABARI MPYA

    Thursday, January 17, 2013

    RAIS WA SEATTLE SOUNDERS ALIPOKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU JANA

    Rais wa Seattle Sounders FC ya Marekani, kushoto, akizungumza na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Ikulu mjini Dar es Salaam jana.

    Hapa wanamkabidhi rais Kikwete jezi ya Sounders

    akimuonyeasha jambo kwenye kompyuta rais Kikwete

    Ujumbe wa Sonders baada ya kufika Ikulu jana

    Ujumbe wa Sounders katika picha ya pamoja na rais JK jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RAIS WA SEATTLE SOUNDERS ALIPOKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top