• HABARI MPYA

    Friday, February 08, 2013

    DROGBA APATA MAPOKEZI MAKUBWA UTURUKI WALIPOKUWA YANGA


    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ivory Coast, Didier Drogba amepata mapokezi mazuri alipowasili Istanbul alipokubali kujiunga na Galatasaray ya Uturki katika uhamisho wa Januari.
    Kiungo wa zamani wa Inter Milan, Wesley Sneijder alipata mapokezi kama hayo alipowasili Uturuki mwezi uliopita na Drogba ameamua kumfuata Mholanzi huyo akiondoka Shanghai Shenhua ya China.
    Nahodha huyo wa Ivory Coast alichelewa kuwasili kwenye timu hiyo kwa sababu ya Fainali za Mataifa ya Afrika.
    Mobbed: Didier Drogba is surrounded by photographers after arriving in Istanbul
    Didier Drogba akiwa amezungukwa na wapiga picha baada ya kuwasili Istanbul
    New chapter: Didier Drogba held up a Galatasaray flag after arriving in Istanbul this afternoon
    Didier Drogba akiwa ameshika bendera ya Galatasaray baada ya kuwasili Istanbul mchana wa leo
    Unveiled: Drogba holds up a scarf with his name emblazoned across
    Drogba akiwa ameshika scarf yenye jina lake
    Barricade: Police hold back baying fans who push to see their new hero Drogba
    Polisi walilazimika kufanya kazi ya ziada kuwadhibiti mashabiki waliopagawa na Drogba
    Warm welcome: Drogba received a similar reception to Wesley Sneijder after he arrived in Turkey last month
     Drogba alipata mapokezi sawa na aliyopata Wesley Sneijder alipowasili Uturuki mwezi uliopita
    Frenzy: Galatasaray fans hold up a flag in tribute for the striker after his arrival at Ataturk Airport
    Frenzy: Galatasaray fans hold up a flag in tribute for the striker after his arrival at Ataturk Airport
    'Nina furaha sana kuwa hapa, kwangu ni changamoto mpya, sehemu mpya katika maisha yangu. Nitafanya mazuri ili kupata mafanikio katika klabu hii.'
    Drogba ataungana na Emmanuel Eboue, ambaye alijiunga na klabu hiyo bingwa ya Uturuki akitokea Arsenal mwaka 2011.
    Mshambuliaji mwingine wa zamani wa Chelsea, ambaye alitoka Stamford Bridge kwenda China, Nicolas Anelka amerejea Ulaya. 
    Nicolas Anelka alijiunga na Shenhua Januari mwaka jana, lakini ameamua kujiunga na vigogo wa Italia, Juventus, akikamilisha uhamisho wake kwa mabingwa hao wa Serie A mwezi uliopita.
    Hero's welcome: Wesley Sneijder was paraded in the city after his arrival at the same airport last month
    Wesley Sneijder naye alipata mapokezi makubwa
    Flare up: The fans were out in full force for the Dutch international's arrival from Inter Milan
    mashabiki waliojitokeza kumpokea kiungo huyo kutoka Inter Milan
    In the mix: Wesley Sneijder has already made the switch from Inter Milan to Galatasaray
    Wesley Sneijder tayari amekwishaanza kazi Galatasaray

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DROGBA APATA MAPOKEZI MAKUBWA UTURUKI WALIPOKUWA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top