• HABARI MPYA

    Thursday, February 07, 2013

    PROFESA MILOVAN ATUA DAR NA KUMTIA MKONONI BABU MFARANSA ALIYECHUKUA 'UGALI WAKE' MSIMBAZI

    Profesa Milovan baada ya kuibuka Taifa

    Kocha aliyetimuliwa Simba SC, Profesa Milovan Cirkovick raia wa Serbia, jana aliibuka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Tanzania na Cameroon na kuteka hadhira.
    Profesa Milovan aliwapungia mkono mashabiki wa Simba ambao walimjibu kwa shangwe zito.
    baadaye Milovan, aliwasalimia baadhi ya wadau na kwenda kuketi kushuhudia mchezo huo. Wakati wa mapumziko, alikwenda kusalimiana na kocha aliyerithi nafasi yake, Mfaransa Patrick Liewig. Tabiri nini kinakuja, haswa katika wakati huu ambao Liewig ameingia kwenye mgogoro na wachezaji mafaza Simba SC?
    Milo akiwaangalia mashabiki wa Simba

    Milo amemtia mikononi Liewig

    Milo kama Check Norris

    Achana naye Babu Mikogo, mzee kijana

    Anampa 'Hi' Babu Mfaransa 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: PROFESA MILOVAN ATUA DAR NA KUMTIA MKONONI BABU MFARANSA ALIYECHUKUA 'UGALI WAKE' MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top