• HABARI MPYA

    Monday, February 04, 2013

    TAIFA STARS WAKIWAPASHIA CAMEROON LEO JIONI TAIFA

    Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta, akiambaa na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

    Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Shaaban Nditi, akiambaa na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

    Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Frank Domayo, akiteleza na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

    Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Salum Abubakar, akiondoka na mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

    Domayo akinyoosha viungo

    Kevin Yondan akifurahia jambo wakati wa mazoezi

    Thomas Ulimwengu akinyoosha viungo

    Shomary Kapombe akipiga danadana

    Kapombe kushoto na Mwinyi Kazimoto kulia wakinyoosha viungo

    Amri Kiemba kushoto na Mrisho Ngassa kulia wakinyoosha viungo

    Simon Msuva kulia akinywa maji huku Nadir Haroub 'Cannavaro' akimsubiria abakishe naye amalizie

    Kipa wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Juma Kaseja, akidaka mpira kwenye mazoezi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, Cameroon keshokutwa kwenye Uwanja huo.

    Makipa wa Stars wakijifua, kutoka kulia Juma Kaseja, Aishi Manula na Mwadini Ally

    Kocha Mdenmark, Kim Poulsen akiwaongoza vijana kwa nadharia na vitendo

    Mwinyi Kazimoto kulia na Mrisho Ngassa kushoto

    Simon Msuva akipiga mpira

    Beki Issa Rashid akimiliki mpira mbele ya Erasto Nyoni na Shaaban Nditi

    Msuva akijiandaa kupokea pasi

    Erasto Nyoni akipasua 

    Athumani Iddi 'Chuji' akipoza koo kwa maji Uhai 

    Nadir Haroub 'Cannavaro' akigombea mpira dhidi ya Juma Kaseja, huku Aishi Manula akiwa tayari kumsaidia

    Athumani Iddi 'Chuji' akiondoka na mpira

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: TAIFA STARS WAKIWAPASHIA CAMEROON LEO JIONI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top