• HABARI MPYA

    Tuesday, April 09, 2013

    KIPA KIBOKO YA MESSI APATIKANA JAPAN, ACHEZA PENALTI MBILI ZA MUARGENTINA HUYO KATI YA TATU


    LABDA hii inaweza kuwa njia pekee ya kumdhibiti Lionel Messi asifunge mabao - kwa kumuwekea kipa Robot la Kijapani.Messi sasa anaitwa 'Mtambo wa kuua', baada ya kufunga mabao 57 msimu huu.
    Amewaacha makocha wa La Liga na Ulaya yote wanaumiza vichwa vyao juu ya namna ya kumdhibiti mshambuliaji huyo wa Kiargentina.
    Nenda katazame video chini kabisa
    Man v machine: Messi prepares to step up against the robot
    Mtu VS mashine: Messi akijiandaa kupiga mpira dhidi ya kipa Robot
    Not spot on: Messi steps up for his penalty (above) and sees his spot-kick saved (below)
    Anakwenda: Messi anajivuta kupiga penalti (juu) na angalia mkwaju wake unavyookolewa (chini)
    Messi pen:
    Lakini mpachika mabao huyo wa Barcelona, ambaye mbele ya wengi anapewa heshima ya mchezaji bora zaidi daima kuwahi kutokea duniani, alichemsha wakati akipambana na mashine hiyo katika mchezo ulioonyeshwa na Televisheni ya Japan.Messi alipiga penalti tatu dhidi ya Robot hilo, lakini akakosa mbili za kwanza.

     VIDEO   Messi akipigiana penalti na Robot

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KIPA KIBOKO YA MESSI APATIKANA JAPAN, ACHEZA PENALTI MBILI ZA MUARGENTINA HUYO KATI YA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top