• HABARI MPYA

    Friday, May 03, 2013

    DARAJANI HAKATIZI MTU SALAMA, CHELSEA YAIBOMOA 3-1 BASLE NA KUTINGA FAINALI ULAYA...TORRES MOTO UMERUDI, LUIZ, VICTOR NI NOMA!


    CHELSEA imefanikiwa kutinga fainali ya Europa League baada ya kuifunga mabao 3-1 FC Basle ya Usiwsi usiku huu kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
    Mabao ya Chelsea katika mchezo huo yalifungwa na Fernando Torres dakika ya 50, Victor Moses dakika ya 52 na David Luiz dakika ya 59, wakati la kufutia machozi la Basle lilifungwa na Salah dakika ya 45,
    Chelsea imetinga fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-2, baada ya awali kushinda ugenini 2-1 na sasa itamenyana na Benfica ya Ureno katika fainali, ambayo usiku huu imeifunga Fenerbahce mabao 3-1 hivyo kufuzu kwa jumla ya ushindi wa mabao 3-2.
    Katika mchezo wa leo, kikosi cha Chelsea kilikuwa;Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Bertrand, Lampard, Luiz/Ake dk81, Ramires/Oscar dk66, Hazard/Mata dk75, Moses, Torres.
    Basle: Sommer, Steinhofer, Schar, Sauro, Voser, El-Nenny, Frei/Diaz dk62, Die, Salah, Streller/Zoua dk75, Stocker/David Degen dk62.    
    Thunderbolt: David Luiz lets fly from distance to hit a world-class goal which capped Chelsea's night
    Kitu hicho: David Luiz akifunga kwa shuti la mbali
    Letting fly: Luiz
    David Luiz
    Mobbed: David Luiz is bundled by team-mates
    Shangwe: Luiz akipongezwa na wenzake
    David Luiz
    David Luiz
    No mistake: Victor Moses fired past a stranded Yann Sommer to give Chelsea a 2-1 lead on the night
    Hakuna kukosea: Victor Moses akifunga
    Victor Moses
    Victor Moses
    Slide rule: Fernando Torres struck his fifth goal in eight matches - and his tenth of this Europa League campaign
    Mtelezo wa bao: Fernando Torres akifunga bao lake la tano katika mechi nane na la 10 katika Europa League msimu huu
    Slide rule: Fernando Torres struck his fifth goal in eight matches - and his tenth of this Europa League campaign

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DARAJANI HAKATIZI MTU SALAMA, CHELSEA YAIBOMOA 3-1 BASLE NA KUTINGA FAINALI ULAYA...TORRES MOTO UMERUDI, LUIZ, VICTOR NI NOMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top