• HABARI MPYA

    Sunday, May 05, 2013

    KLITSHCKO AMTWANGA PIANETA KO RAUNDI YA SITA NA KUTOA ONYO KWA HAYE


    BONDIA Wladimir Klitschko amempa somo David Haye usiku huu baada ya kumpiga bondia ambaye alikuwa hajawahi kupigwa, Francesco Pianeta kwa Knockout (KO) katika raundi ya sita kwenye pambano la uzito wa juu mjini Mannheim.
    No problem: Wladimir Klitschko poses with his belts as he celebrates defeating Francesco Pianeta
    Wladimir Klitschko akiwa amepozi na mikanda yake baada ya kumdunda Francesco Pianeta
    Expected: Klitschko punches the air after the comfortable six-round stoppage victory
    Klitschko akipiga ngumi hewani kufurahia ushindi wake
    Klitschko
    Blonde bombshell: Klitschko's girlfriend, actress Hayden Panettiere, watched the fight
    Kimada wa Klitschko, mwigizaji Hayden Panettiere akifuatilia pambano
    U.S. actress Hayden Panettiere,
    U.S. actress Hayden Panettiere,
    Ulikuwa ushindi wa 51 wa KO kwa Klitschko akiwa bingwa wa WBA, WBO, IBF na IBO akiendeleza rekodi yake ya kupigana mapambano 60 na kupoteza matatu tu.
    Haye atapigana na Charr mjini Manchester Juni 29 akiwa na dhamira ya kupigana na Wladimir au Vitali Klitschko akishinda pambano hilo kuwania taji la WBC.
    Haye alipigwa kwa pointi na Wladimir mjini Hamburg Julai mwaka 2011.
    Dominant: Klitschko met expectations with a comprehensive victory over opponent Pianeta
    Klitschko na Pianeta
    Klitschko
    Klitschko
    Out for the count: The referee stopped the fight in the sixth round after Pianeta was floored
    Refa akimuhesabia Pianeta baada ya kudondoka raundi ya sita
    Pianeta
    Pianeta
    Pianeta hoi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KLITSHCKO AMTWANGA PIANETA KO RAUNDI YA SITA NA KUTOA ONYO KWA HAYE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top