• HABARI MPYA

    Monday, June 10, 2013

    STARS YAREJEA DAR ASUBUHI HII KUTOKA MOROCCO TAYARI KUJIANDAA NA MECHI DHIDI YA IVORY COAST

    IMEWEKWA JUNI 10, 2013 SAA 1:00 ASUBUHI

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kutoka kulia Athumani Iddi 'Chuji', Amri Kiemba na Nadir Haroub 'Cannavaro' wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere asubuhi ya leo kutokea Morocco walipokwenda kucheza na wenyeji na kudungwa 2-1 katika mechi ya Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil. Stars ilifungwa 2-1 bao lake likifungwa na Kiemba.

    Wachezaji wanatoka Uwanja wa Ndege  na kuelekea kambini Tansoma Hotel, kuanza maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya Ivory Coast wikiendi ijayo

    Mbwana Samatta

    Nahodha Juma Kaseja akimpa posho yake Shomary Kapombe baada ya kufika Uwanja wa Ndege Dar es Salaam. Mwingine kushoto ni Vincent Barnabas

    Wanapanda basi kuelekea kambini

    Kutoka kulia Mrisho Ngassa, Kapombe na Thomas Ulimwengu

    Katibu wa TFF, Angetile Osiah akizungumza na Kocha Kim Poulsen 

    Angetile akizungumza na Mkuu wa Msafara wa Stars nchini Morocco, Crescentius John Magori na Ofisa wa TFF, Saad Kawemba katikati

    Ndondi hadi Dar; Erasto Nyoni akimtania kumpiga ngumi Ally Mustafa 'Barthez' anayejikinga kwa mifuko

    Vijana wapo Dar tayari

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: STARS YAREJEA DAR ASUBUHI HII KUTOKA MOROCCO TAYARI KUJIANDAA NA MECHI DHIDI YA IVORY COAST Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top