• HABARI MPYA

    Saturday, July 06, 2013

    AZAM FC WAANZA MAZOEZI YA UFUKWENI ASUBUHI YA LEO DAR

    IMEWEKWA JULAI 6, 2013 SAA 5:52 ASUBUHI

    Wachezaji wa Azam FC wakiwa mazezini kwenye fukwe za Coco, Dar es Salaam asubuhi ya leo kujiandaa na msimu mpya. Kutoka kulia Kipre Tchetche, Seif Abdallah na Kipre Balou.

    Kutoka kulia Gaudence Mwaikimba, Malika Ndeule, Jackson Wandwi, Joackins Atudo na David Mwantika

    Kocha Stewart Hall akiwaongoza vijana kwa mifano ya vitendo

    Kipre Tchetche

    Stewart Hall...

    Kulia Said Morad 'Mweda' na Kipre Balou kushoto

    Stewart Hall kushoto akimpigia mpira Ibrahim Mwaipopo

    Jabir Aziz Stima mbele ya Luckson Kakolaki

    Kipre Tchetche

    Mida mibovu; Makocha wa Azam, Stewart na Msaidizi wake, Kali Ongala

    Gaudence Mwaikimba...

    Mchangani...

    Maandalizi ya msimu mpya

    Makocha Wasaidizi, Kali Ongala na Ibrahim Shikanda kushoto

    Kutoka kulia Jabir Aziz, Himid Mao na Brian Umony

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC WAANZA MAZOEZI YA UFUKWENI ASUBUHI YA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top