SPURS YATANGAZA RASMI KUMSAJILI POULINHO ALIYENG'ARA NA BRAZIL KOMBE LA MABARA

IMEWEKWA JULAI 6, 2013 SAA 8:14 MCHANA
KLABU ya Tottenham  imekamilisha usajili wa kiungo Paulinho kutoka Corinthians kwa ada ya Pauni Milioni 17.1.
Spurs imetangaza leo asubuhi kwamba, kiungo hiyo Mbrazil mwenye umri wa miaka 24 amekamilisha upimaji wa afya katika klabu hiyo.
Paulinho amesema: "Nina furaha sana ninayevutiwa na kuhamia Spurs. Ni kitu kizuri katika maisha yangu ya soka kuwa katika klabu kunwa kama Tottenham,".
New face: Tottenham have confirmed the signing of Paulinho from Corinthians
Sura nzuri: Tottenham imethibitisha usajili wa Paulinho kutoka Corinthians
Kick-ups: Paulinho shows off his skills in this image released on Tottenham's official website
Paulinho akionyesha uwezo wake katika picha hii iliyopatikana kwenye tovuti ya Tottenham

Poulinho alikuwemo kwenye kikosi cha Brazil kilichotwaa Kombe la Mabara Jumapili iliyopita kwa kuifunga 3-0 Hispania katika Fainali Uwanja wa Maracana. 
Share on Google Plus

About Mahmoud Zubeiry

Mahmoud Zubeiry Works at BIN ZUBEIRY "BIN ZUBEIRY" Tangaza nasi hapa.