• HABARI MPYA

    Friday, November 22, 2013

    TARAJIA SASA MAYWEATHER ATAZIPIGA NA PACQUIAO MWAKANI

    MABONDIA Floyd Mayweather Jnr na Manny Pacquiao hatimaye wanaweza kuzipiga mwakani katika pambano kubwa zaidi la ndondi kuwahi kutokea.
    Mkuu wa Top Rank, Bob Arum, ambaye anampromoti nyota wa Ufilipino, amesema atahakikisha pambano hilo linalosubiriwa kwa muda mrefu linafanyika na ataanza mchakato huo baada ya pambano dhidi ya Brandon Rios huko Macau mwishoni mwa wiki hii.
    Gharama za pambano hilo zinatarajiwa kuwa dola za KImarekani Milioni 300

    Uso kwa uso: Manny Pacquiao (kushoto) atapambana na Brandon Rios mjini Macau kesho
    Chilling out: Floyd Mayweather is taking a break after winning two fights in convincing style this year
    Ametulia tuli: Floyd Mayweather yuko mapumzikoni baada ya kushinda kwa kishindo mapambano mawili mwaka huu 


    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/article-2511333/Floyd-Mayweather-fight-Manny-Pacquiao-year-says-Bob-Arum.html#ixzz2lLupbd49
    Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TARAJIA SASA MAYWEATHER ATAZIPIGA NA PACQUIAO MWAKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top