• HABARI MPYA

    Tuesday, April 15, 2014

    UZI MPYA WA ARSENAL WAVUJA,HUU HAPA

    MASHABIKI wa Arsenal wanasubiri uzinduzi wa jezi mpya za klabu yao wiki ijayo, lakini kwa bahati mbaya au nzuri zimevuja.
    Mtumiaji wa akaunti ya Twitter, ‏@oitzbrad ametweet picha hizo chini zinazoonyesha jezi za Arsenal za msimu ujao wa, hiyo ikiwa ni jezi ya kwanza ya The Gunners kuvunja.
    Ni uzi mpya wa Gunners? Hii inaweza kuwa jezi mpya na ya kwanza kuwa na nembo ya Puma

      Ni wiki iliyopita tu kiungo wa Gunners, Mesut Ozil alipigwa picha nje ya nyumbani kwake mjini London akiwa ameshika jezi namba 11 ya timu hiyo iliyotengenezwa maalum kwa ajili ya mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ujerumani.
      Tetezi zilianza baada ya hapo kwamba, Ozil alikuwa ameshuka jezi mpya ya nyumbani ya Gunners kwa msimu ujai. 
      Getting shirty: Mesut Ozil spotted in London on Tuesday
      Come in No 11: The £42.5million signing was carrying the Arsenal home strip
      Mesut Ozil alionekana akiwa ameshika jezi ya Arsenal Jumanne iliyopita
      Is this Arsenal's new home shirt for next season?
      In the driving seat: Ozil, seen here leaving his Mercedes SLS, has been out of action with a hamstring injury
      Ozil anaonekana akiondoka nyumbani kwake kwa gari lake aina ya Mercedes SLS. Mchezaji huyo yuko nje kwa majeruhi
      Making strides: Ozil is nearing a return to first-team action but won't feature in the Cup semi-final on Saturday
      Ozil yupo karibu kurejea uwanjani
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Item Reviewed: UZI MPYA WA ARSENAL WAVUJA,HUU HAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
      Scroll to Top