• HABARI MPYA

    Wednesday, August 20, 2014

    COUTINHO AITWA BRAZIL MPYA BAADA YA KOCHA DUNGA KUBOMOA KIKOSI KILICHOVURUNDA KOMBE LA DUNIA

    KOCHA mpya wa Brazil, Carlos Dunga amekibomoa kikosi cha timu hiyo kilichovurunda Kombe la Dunia kwa kuwatema wachezaji 13 na kuita wengine wapya. 
    Philippe Coutinho ni miongoni mwa ingizo jipya la wachezaji baada ya Kombe la Dunia baada ya Dunga kuvutiwa na kazi yake akiichezea Liverpool, wakati Neymar aliyepona majeruhi yake yaliyomfanya akose mechi mbili za mwisho za Kombe la Dunia ameitwa pia.
    Kikois cha wachezaji 22 kimetajwa jana kwa ajili ya mechi mbili za kiradiki dhidi ya Colombia na Ecuador.

    Kiwango kizuri: Philippe Coutinho amerejeshwa kikosi cha Brazil baada ya kazi nzuri Liverpool

    KIKOSI KIPYA CHA BRAZIL HIKI HAPA... 

    Makipa: Jefferson (Botafogo), Rafael (Napoli)
    Mabeki: Maicon (AS Roma), Filipe Luis (Chelsea), Alex Sandro (FC Porto), Danilo (FC Porto), David Luiz (Paris Saint-Germain), Marquinhos (Paris Saint-Germain), Gil (Corinthians), Miranda (Atletico Madrid)
    Voungo: Fernandinho (Manchester City), Luiz Gustavo (VfL Wolfsburg), Elias (Corinthians), Ramires (Chelsea), Everton Ribeiro (Cruzeiro), Ricardo Goulart (Cruzeiro), Oscar (Chelsea), Willian (Chelsea), Philippe Coutinho (Liverpool)
    Washambuliaji: Hulk (Zenit St Petersburg), Neymar (FC Barcelona), Diego Tardelli (Atletico Mineiro)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COUTINHO AITWA BRAZIL MPYA BAADA YA KOCHA DUNGA KUBOMOA KIKOSI KILICHOVURUNDA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top