• HABARI MPYA

    Sunday, August 31, 2014

    KAGAWA AREJEA DORTMUND MIAKA MINNE BAADA YA MAMBO KWENDA KOMBO MAN UNITED

    KIUNGO aliyeshindwa kung'ara Manchester United, Shinji Kagawa amekamilisha uhamisho wa kurejea Borussia Dortmund kwa dau la Pauni Milioni 6.3, miaka miwili tu tangu aondoke klabu hiyo ya Ujerumani.
    Kagawa atasaini Mkataba wa miaka minne na Dortmund, ambayo ilimuuza Mjapani huyo United mwaka 2012 kwa Pauni Milioni 12.
    Lakini kuumia umia mara kwa mara kulimkwamisha mchezaji huyo kung'ara na baada ya kufeli mbele ya kocha David Moyes msimu uliopita, kocha Louis van Gaal amemtema.

    Amerudi: Borussia Dortmund imemsajili tena Shinji Kagawa kutoka  Manchester United 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAGAWA AREJEA DORTMUND MIAKA MINNE BAADA YA MAMBO KWENDA KOMBO MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top