• HABARI MPYA

    Friday, August 22, 2014

    MSAFARA WA MWISHO WA REAL MADRID ULIVYOTUA DAR, KESHO TAIFA PATAPENDEZA

    Msafara wa mwisho wa Real Madrid baada ya kuwasili Dar es Salaam jioni ya leo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya magwiji wa Tanzania Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Kesho Taifa patapendeza
    Magwiji wa Real wakisubiri usafiri kuelekea Bahari Beach
    Wanaelekea kwenye basi la Azam FC kwa safari ya hotelini
    Watu walijitokeza kuwapokea
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSAFARA WA MWISHO WA REAL MADRID ULIVYOTUA DAR, KESHO TAIFA PATAPENDEZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top