• HABARI MPYA

    Saturday, September 20, 2014

    ARSENAL YAUA 3-0...WELBECK NA OZIL NI BALAA ENGLAND

    ARSENAL imeng’ara katika Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa ugenini wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Villa Park jioni ya leo.
    Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo Mesuti Ozil dakika ya 32 pasi ya Danny Welbeck, aloyefunga mwenyewe bao la pili dakika ya 34 pasi ya Ozil, wakati bao la tatu Cissokho alijifunga dakika ya 36.
    Kikosi cha Aston Villa kilikuwa: Guzan, Hutton, Senderos, Clark, Cissokho, Cleverley, Sanchez/Bacuna dk86, Delph, Weimann/Grealish dk46, Agbonlahor na Richardson/N’Zogbia dk77.
    Arsenal: Szczesny, Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Ramsey/Wilshere dk78, Oxlade-Chamberlain/Rosicky dk78, Ozil, Cazorla na Welbeck/Podolski dk78.
    Wachezaji wa Arsenal wakipongezana kwa ushindi wa leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAUA 3-0...WELBECK NA OZIL NI BALAA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top