• HABARI MPYA

    Thursday, September 18, 2014

    GERARD PIQUE AIBEBA BARCELONA MESSI NA NEYMAR WAKISHIKWA NA VIBONDE

    BAO pekee la Gerard Pique limeipa Barcelona ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Cypriots Apoel Nicosia ya Cyprus usiku huu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
    Pique alifunga bao muhimu akimalizia mpira wa adhabu wa Lionel Messi katikati ya kipindi cha kwanza, lakini Apoel iliwabana vilivyo Barca licha ya kuongozwa na nyota wake Messi na Neymar mbele.
    Katika mchezo mwingine, Luka Zahovic alitokea benchi kuinusuru Maribor kulala Sporting kwa kupata safe ya 1-1 kwa bao la dakika ya mwisho baada ya Luis Nani kutangulia kuwafungia wapinzani wao.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GERARD PIQUE AIBEBA BARCELONA MESSI NA NEYMAR WAKISHIKWA NA VIBONDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top