• HABARI MPYA

    Sunday, September 14, 2014

    JAJA APIGA MBILI YANGA IKIITANDIKA AZAM FC 3-0, NGAO YAENDA JANGWANI TENA

    Kocha Marcio Maximo akimpongeza Genilson Santana 'Jaja' baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Balo lingine lilifungwa na Simon Msuva.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JAJA APIGA MBILI YANGA IKIITANDIKA AZAM FC 3-0, NGAO YAENDA JANGWANI TENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top