• HABARI MPYA

    Tuesday, September 16, 2014

    MANCHESTER CITY WAACHIA UZI MPYA 'MOTO'

    KLABU ya Manchester City imetoa jezi mpya za tatu zitakazotumiwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England katika michuano ambayo watashiriki msimu huu.
    Klabu hiyo inazindua jezi hizo kuelekea kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich Jumatano na zitatolewa rasmi kwa ajili ya mashabiki kuanzia Septemba 25.
    Taarifa ya City kwa vyombo vya habari, imesema: "Chini ya wingu la kiza hizi jezi zinaonekana zinawaka, kama zinatiwa nguvu ya betri na zitatoa mwangaza fulani wa rangi uwanjani,".

    David Silva akionyesha jezi mpya ya Manchester City
    There is less material on the sock to enhance players¿ touch
    Hii ndiyo jezi kamili mpya ya tatu ya Man City
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANCHESTER CITY WAACHIA UZI MPYA 'MOTO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top