• HABARI MPYA

    Sunday, September 14, 2014

    MWENYEKITI WA AZAM FC ALIPOMKATA JICHO LA 'SIAMINI' JAJA LEO TAIFA

    Wewe ndiyo umetufunga!; Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad akimpa mkono huku akimkata jicho la 'Siamini' mshambuliaji wa Yanga SC, Genislon Santana Santos 'Jaja' wakati wa kukabidhi Medali za washindi wa Ngao ya Jamii jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Jaja alifunga mabao mawili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Azam FC.
    Jaja akifurahia na Medali yake baada ya kukabidhiwa leo 
    Jaja kulia akipongezwa na Mbuyu Twite baada ya kufunga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWENYEKITI WA AZAM FC ALIPOMKATA JICHO LA 'SIAMINI' JAJA LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top