• HABARI MPYA

    Monday, September 15, 2014

    SIMON MSUVA 'ALIZUKA TU' JANA NA KUITEKETEZA AZAM FC

    Orodha ya wachezaji waliotakiwa kushiriki mchezo wa Ngao ya Jamii jana baina ya Azam FC na Yanga SC iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jina la winga wa Yanga SC Simon Msuva halikuwamo, lakini mchezaji huyo alitokea benchi na kuseti bao moja na kufunga moja katika ushindi wa 3-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Simon Msuva akiwa amebebwa na Mbuyu Twite kulia baada ya kufunga

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMON MSUVA 'ALIZUKA TU' JANA NA KUITEKETEZA AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top