• HABARI MPYA

    Monday, September 15, 2014

    YANGA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akipasua katikati ya wachezaji wa Azam FC, Erasto Nyoni kulia na Khamis Mcha 'Vialli' kushoto katika mchezo wa Ngao ya Jamii jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 3-0.
    Kiungo wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Azam FC, Shomary Kapombe
    Mrisho Ngassa akimtoka Kipre Balou
    Erasto Nyoni wa Azam FC akimvuta jezi Haruna Niyonzima wa Yanga SC
    Mshambuliaji wa Azam FC, Leonel Saint- Preux akiwatoka mabeki wa Yanga SC Mbuyu Twite na Juma Abdul nyuma
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka kiungo wa Yanga SC, Nizar Khalfan
    Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga kulia akigombea mpira na kiungo wa Azam FC, Kipre Balou
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Hussein Javu akitafuta mbonu za kumtoka beki wa Azam FC, David Mwantika kulia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top