• HABARI MPYA

    Thursday, January 29, 2015

    CHELSEA YAMUWEKA SOKONI SCHURRIE IPATE FEDHA ZA KUMNUNUA CUADRADO

    KLABU ya Chelsea imekubali kumuuza Andre Schurrle ili kupata fedha za kumnunua Juan Cuadrado.
    Uhamisho wa Mcolombia, Cuadrado, mwenye umri wa miaka 26, unaweza kukamilika ndani ya muda mzuri ili aweze kucheza Jumamosi mchezo wa kuwania usukani wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Manchester City, huku Chelsea ikikaribia kabisa kumsajili.
    Chelsea imetaka zaidi ya Pauni Milioni 30 kumuuza Schurrie na Wolfsburg inaelekea kufika bei, huku Borussia Dortmund pia wakimuhitaji.
    Jose Mourinho si mpenzi wa mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ujerumani, lakini anakiri ni wa thamani ya juu. Mshindi huyo wa Kombe la Dunia pia anataka kurejea nyumbani kwao. 
    Andre Schurrle appears to have played his last game for Chelsea after they agreed to cash in on the forward
    Andre Schurrle yuko njiani kuondoka Chelsea baada ya klabu hiyo kukubali kumuuza Cuadrado could be registered in time to face Manchester City at Stamford Bridge on Saturday evening 
    Cuadrado anaweza kusajiliwa ndani ya muda ili awahi mechi dhidi ya Manchester City Uwanja wa Stamford Bridge Jumamosi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAMUWEKA SOKONI SCHURRIE IPATE FEDHA ZA KUMNUNUA CUADRADO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top