• HABARI MPYA

    Sunday, March 01, 2015

    AZAM FC NA EL MERREIKH KATIKA PICHA JANA SUDAN

    Beki wa Azam FC, Serge Wawa Pascal (kulia) akimtoka mchezaji wa El Merreikh jana Uwanja wa Merreikh mjini Khartoum, Sudan katika mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika, Merreikh ilishinda 3-0 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kufungwa 2-0 Uwanja wa Azam Compolex, Chamazi, Dar es Salaam.  

    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) akipambana na kiungo wa Merreikh Augustine Okrah

    Beki wa Azam FC, Erasti Nyoni (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Merreikh MOhammed Abdallah

    Bakr akiifungia bao la kwanza Merreikh jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA EL MERREIKH KATIKA PICHA JANA SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top