• HABARI MPYA

    Tuesday, June 10, 2014

    NEYMAR AUMIA ENKA MAZOEZINI BRAZIL, LAKINI...

    MASHABIKI na wapenzi wa soka Brazil jana waliingiwa hofu kufuatia mshambuliaji wao nyota, Neymar kukaa chini mazoezini akiugulia maumivu ya kifundo cha mguu na kuzua hofu juu ya uimara wake keuelekea Kombe la Dunia.
    Nyota huyo wa Barcelona aliumia enka wakati wa mazoezi Selecao nje ya Rio de Janeiro na kumlazimisha kupata huduma ya kwanza uwanjani.
    Hata hivyo, baada ya dakika kadhaa za kutibiwa, mchezaji huyo ambaye amepamba bang la tangazo la Kombe la Dunia mwaka huu, aliinuka na kuendelea na mazoezi.

    Maumivu: Neymar akiugulia maumivu ya kifundo cha mguu baada ya kuumia mazoezini jana
    Neymar practices during a training session
    Sigh of relief: Neymar was able to finish the session
    Nafuu: Neymar aliinuka baada ya kupatiwa huduma ya kwanza na kurudi kuendelea na mazoezi, kujiandaa na mchezo wa ufunguzi dhidi ya Croatia keshokutwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR AUMIA ENKA MAZOEZINI BRAZIL, LAKINI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top