• HABARI MPYA

    Tuesday, August 05, 2014

    SIMBA SC NDANI YA AZAM TV LEO, 'PREZIDAA' AVEVA ALIWAONGOZA VIJANA HADI TABATA RELINI

    Hawa jamaa si mchezo, kama Aljazeera; Viungo wa Simba SC, Amri Kiemba na Jonas Mkude kushoto wakizungumza wakati wa ziara yao kwenye ofisi za Azam TV, eneo la Tabata Relini, Dar es Salaam mchana wa leo. Simba SC ipo katika mfululizo wa wiki ya Simba, kuelekea tamasha la klabu hiyo Jumamosi wiki hii, maarufu kama Simba Day, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Ofisa wa Azam TV, Patrick Kahemele kushoto akimuelekeza jambo Rais wa Simba SC, Evans Aveva kulia
    Wachezaji wa Simba SC wakisikiliza maelezo ya Kahemele
    Haroun Chanongo kulia na Ramadhani Singano 'Messi' kushoto
    Wanapata vinywaji bariddi huku wakiangalia kipindi cha Simba TV
    Rais wa Simba SC na wachezaji wake Azam TV
    Perre Kwizera kulia na Amisi Tambwe kushoto wakiwasili Azam TV

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NDANI YA AZAM TV LEO, 'PREZIDAA' AVEVA ALIWAONGOZA VIJANA HADI TABATA RELINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top