![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 1-0. |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ruvu, Said Madega |
![]() |
Winga wa Simba SC akigombea mpira na beki wa Ruvu, Frank Msese |
![]() |
Mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Juma Mdindi akimtoka beki wa Simba SC, William Lucian 'Gallas' |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla kulia akimiliki mpira pembeni ya beki wa Ruvu, Frank Msese |
![]() |
Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimtoka kiungo wa Ruvu, Juma Nade |
0 comments:
Post a Comment