Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akiruka hewani kushangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 105 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Reading Nusu Fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Wembley usiku huu. Sanchez pia alifunga bao la kwanza dakika ya 39, wakati bao la Reading lilifungwa na Gareth McCleary dakika ya 54. Arsenal itakutana na mshindi kati ya Aston Villa na Liverpool wanaomenyana kesho katika Nusu Fainali ya pili Wembley.
PICHA ZAIDI NENDA:
http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3044993/Reading-1-2-Arsenal-Adam-Federici-howler-lets-second-Alexis-Sanchez-strike-Gunners-reach-FA-Cup-final-extra-time.html#ixzz3XgnonzPr
0 comments:
Post a Comment