Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi timu yake ikiilaza 2-1 Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Selhurst Park, London. Bao lingine la Liverpool ambalo ilicheza pungufu baada ya James Milner kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 62 lilifungwa na Roberto Firmino, baada ya Joe Ledley kutangulia kuifungia Palace PICHA ZAIDI GONGA HAPA
More than 400 guinea pigs found in hoarder’s Los Angeles home, says animal
charity
-
Volunteers are looking for people willing to adopt or foster the animals
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment