• HABARI MPYA

    Sunday, March 03, 2013

    SPURS YAILAMBA 2-1 ARSENAL


    Tottenham imeiacha kwa pointi saba Arsenal baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ya wapinzani wa jadi wa Kaskazini mwa London kwenye Uwanja wa White Hart Lane.
    Mabao mawili yaliyopatika dakika mbili kabla ya mapumziko yalitosha kumpa ushindi Andre Villas-Boas' na vijana wake.

    VIKOSI...WAFUNGAJI

    Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Assou-Ekotto, Dembele (Livermore 87), Parker, Lennon (Gallas 90), Bale, Sigurdsson, Adebayor (Defoe 66). 
    Benchi: Friedel, Naughton, Holtby, Carroll.
    Wafungaji: Bale dk37, Lennon dk39.
    Kadi za njano: Vertonghen, Adebayor, Walker.

    Arsenal: Szczesny, Jenkinson (Rosicky 60), Mertesacker, Vermaelen, Monreal, Ramsey, Arteta(Podolski 77), Walcott, Wilshere, Cazorla, Giroud. 
    Benchi: Mannone, Koscielny, Oxlade-Chamberlain, Coquelin, Gervinho.
    Mfungaji wa bao: Mertesacker dk51.
    kadi ya njano: Ramsey.
    Mashabiki: 36,170.
    Refa: Mark Clattenburg (Tyne & Wear).

    Joy: Spurs players celebrate their team's 2-1 victory in the north London derby against Arsenal
    Furaha: Wachezaji wa Spurs wakishangilia ushindi wa 2-1 wa timu yao dhidi ya Arsenal
    Opener: Gareth Bale beat Arsenal's offside trap to score the first goal at White Hart Lane
    Gareth Bale akivunja mtego wa kuotea wa Arsenal na kufunga bao la kwanza Uwanja wa White Hart Lane
    Opener: Gareth Bale beat Arsenal's offside trap to score the first goal at White Hart Lane
    Contrast: Thomas Vermaelen looks on as Bale wheels away to celebrate the opening goalThomas Vermaelen akimtazama wakati Bale akishangilia bao lake
    No stopping him: Bale continued his impressive goal-scoring run to the delight of Spurs fans
    Bale akishangilia bao lake mbele ya mashabiki wa Spurs
    Pounce: Aaron Lennon took advantage of some poor Arsenal defending to double Spurs' lead
    Aaron Lennon alitumia udhaifu wa safu ya ulinzi ya Arsenal kufunga bao la pili
    Open goal: Lennon took the ball round Wojciech Szczesny before rolling it into an empty net
    Lennon akimtungua Wojciech Szczesny
    All smiles: Arsenal manager Arsene Wenger embraces Tottenham boss Andre Villas-Boas
    Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akisalimiana na kocha wa Tottenham, Andre Villas-Boas
    Despair: A glum looking Jack Wilshere at full-time
    Jack Wilshere akiwa mwenye huzuni baada ya mechi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SPURS YAILAMBA 2-1 ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top