![]() |
| Hatari kwenye lango la Morocco |
![]() |
| Mrisho Ngassa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Morocco, AbderrahimAchchakir |
![]() |
| Shuti la bao; Thomas Ulimwengu akiwa amefumua shuti kufunga bao la kwanza |
![]() |
| Wachezaji wa Stars wakimpongeza Ulimwengu kufunga bao lililofungua biashara nzuri leo |
![]() |
| Mrisho Ngassa akipasua katikati ya mabeki wa Morocco |
![]() |
| Mpira nyavuni; Bao la kwanza lililofungwa na Ulimwengu |
![]() |
| Beki wa Morocco, Younes Hammal akiondosha hatarini langoni mwake mbele ya wachezaji wa Stars, Amri Kiemba na Mrisho Ngassa kushoto |
![]() |
| Shuti; Mwinyi Kazimoto angekuwa wa kwanza kuifungia Stars leo kama shuti lake hili lisingeokolewa na mabeki wa Morocco |
![]() |
| Wachezaji wa Stars wakimpongeza Samatta aliyefunga bao la pili |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Morocco |
![]() |
| Thomas Ulimwengu akiwatoka mabeki wa Morocco |
![]() |
| Ulimwengu anakwenda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa Morcco nyuma...jamaa alimkwatua Uli na mchezaji mwenzake huyo mbele kwa pamoja ambaye alikuwa anamsindikiza Thom |
![]() |
| Sura za huzuni; Wachezaji wa akiba wa Morocco walishindwa kuendelea na mazoezi ya kupasha misuli moto na kubaki wanastaajabu namna vijana wa Tanzania wanavyowatesa wenzao uwanjani |
![]() |
| Thomas Ulimwengu akimfunga tela beki wa Morocco, Abderrahim Achchakir |
![]() |
| Kikosi cha Morocco leo |
![]() |
| Utabiri huu bado kidogo utimie leo; Mashabiki wakiwa na bango linaloonyesha Taifa Stars 3-0 Morocco |
![]() |
| 11 wa Stars walioanza leo |
![]() |
| Bao la tatu; Wachezaji wa Stars wakimpongeza Samatta baada ya kufunga bao la tatu |
![]() |
| Katika picha ndogo kushoto, Thomas Ulimwengu ndio ampitishia kanzu Abderrahim Achchakir na picha kubwa tayari kanzu imemtosha mtu... |
![]() |
| Ulimwengu anapasua katikati ya mabeki wa Morocco..leo jamaa katufaa sana Watanzania |
![]() |
| Mbwana Samatta anapiga shuti |
![]() |
| Beki nwa Morocco, Zakarya Bergdich akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa beki wa Stars, Erasto Nyoni |
![]() |
| Beki wa Morocco, Abdelillah Hafidi akimkanyaga kiungo wa Stars, Amri Kiemba kwenye eneo la hatari... |
![]() |
| Kiemba kaenda chini...lakini refa alipitiwa hapa kibinadamu akapeta |
![]() |
| Beki wa Stars, Shomary Kapombe akipasua katikati ya wachezaji wa Morocco |





























.png)