![]() |
| Akiwa katika huzini kubwa, ni Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Wakili Imani Mahugila Madega tayari kuchangia na Millene Happy Magesse tayari kuandika kilichoingia |
![]() |
| Irene kushoto bize na simu na msosi, kama Janguo kulia |
![]() |
| Millene Happiness magesse kulia na Issa Mussa 'Cloud' kushoto. Fedha zote za michango alikuwa anapokea Cloud, halafu Happy Magesse anaandika kitabuni. |
![]() |
| Ruge na Dk Nchimbi |
![]() |
| Kamati ya Mazishi ya Steven Kanumba ikiwa kazini katika michakato ya bajeti. Wa kwanza kutoka kulia ni Ruge, anayemfuatia ni Dk Nchimbi, JB na Wajumbe wengine wa Kamati hawapo pichani. |







.png)
0 comments:
Post a Comment