Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Chile dakika ya 85 ikiilaza 2-1 Ecuador katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini uliofanyika Uwanja wa Monumental David Arellano mjini Santiago, Chile. Bao la kwanza la Chile lilifungwa na Eduardo Vargas dakika ya 22, wakati la wageni lilifungwa na Romario Andres Ibarra dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Former Chelsea hero's son earns first call up for England Under-15s -
despite his dad winning 113 caps for Brazil
-
Iago, who plays for the Blues academy and has won multiple tournaments at
youth level, has been included in a Three Lions squad for a training camp
this week.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment