Nyota Mbrazil, Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya pili ya muda wa ziada baada ya kutimia 90 za kawaida katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Kombe la Carabao usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge, London. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Antonio Rudiger dakika ya 26, wakati la Everton lilifungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90. Chelsea inaungana na Manchester United, Manchester City na Arsenal kwenda robo fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment