Mashabiki wa Simba (kushoto) na Yanga (kulia) wakitambiana kwenye moja ya baa za nje ya Uwanja wa Taifa, kila mmoja akimuonyesha mwenzake idadi ya mabao ambayo timu yake itashinda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
Hapa ni mashabiki wa Yanga wakipata vinywaji kabla ya kuingia uwanjani
Hapa ni mashabiki wa Yanga wakipata vinywaji kabla ya kuingia uwanjani
Mashabiki wa Simba wakipata wakisubiri huduma katika moja ya baa za nje ya Uwanja wa Uhuru
Hapa wamekaa pamoja mashabiki wa Yanga na Simba
Mashabiki wa Simba wakiwa mezani wanasubiri huduma
Hawa ndiyo wanawahi kukata tiketi bila shaka
Huyu binti amekwishakata tiketi anakwenda kupoteza muda sehemu atarejea
Hawa bila shaka wanawahi kmuingia uwanjani mapema
Mwonekano wa kuelekea Uwanja wa Uhuru kama unatokea Chang'ombe
Former college and NFL coach Derek Dooley joins Senate race in Georgia
-
A former college and NFL coach has announced a shock move into politics as
he joined the Senate race in Georgia. He was previously the head coach of
the Un...
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment