Chipukizi wa umri wa miaka 18 Edward Nketiah akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Arsenal dakika za 85 na 96 kufuatia kuingia akitokea benchi dakika ya 85 kuchukua nafasi ya Reiss Nelson na kuwawezsha Washika Bunduki kushinda 2-1 dhidi ya Norwich City ndani ya dakika 120 usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London na kutinga Robo Fainali ya Kombe la Carabao. Bao la Norwich lilifungwa na Josh Murphy dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Yankees fans demand Aaron Boone is fired as season hits new low and stands
of the brink of catastrophe
-
New York Yankees fans are demanding Aaron Boone is fired as season hits a
new low and stands of the brink of catastrophe following the franchise's
sweep at...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment