• HABARI MPYA

    Thursday, April 30, 2026
    JKT TANZANIA YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA MEJA ISAMUHYO

    JKT TANZANIA YAICHAPA KMC 1-0 UWANJA WA MEJA ISAMUHYO

    TIMU ya JKT Tanzania imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Meja ...
    MBEYA CITY NA MASHUJAA FC HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SOKOINE

    MBEYA CITY NA MASHUJAA FC HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SOKOINE

    TIMU ya Mbeya City imelazimishwa sare ya bila mabao na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sok...
    PAMBA JIJI YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE ARUSHA

    PAMBA JIJI YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE ARUSHA

    TIMU ya Pamba Jiji FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo...
    Wednesday, April 29, 2026
    NI SIMBA SC MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO 2026

    NI SIMBA SC MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO 2026

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano 2026 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao, Yanga SC usiku huu Uwanja wa New Ama...
    Monday, April 27, 2026
    MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, GWIJI WA FILAMU TANZANIA AFARIKI DUNIA

    MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA, GWIJI WA FILAMU TANZANIA AFARIKI DUNIA

    BEKI wa zamani wa Yanga, Hashim Shaaban Kambi ‘Ramsey’ amefariki dunia leo muda mfupi baada ya kufikishwa Hospitali ya Mico, Sinza, Dar es S...
    Sunday, April 26, 2026
    NI SIMBA NA YANGA MBILI WIKI MOJA ZANZIBAR NA BARA

    NI SIMBA NA YANGA MBILI WIKI MOJA ZANZIBAR NA BARA

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Mlandege FC usiku huu Uwanj...
    Saturday, April 25, 2026
    YANGA SC YAICHAPA AZAM FC 2-1 NA KUTINGA FAINALI MUUNGANO CUP

    YANGA SC YAICHAPA AZAM FC 2-1 NA KUTINGA FAINALI MUUNGANO CUP

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku hui Uwanja...
    Friday, April 24, 2026
    Thursday, April 23, 2026
    MWALIMU 'GOMEZ' AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MWALIMU 'GOMEZ' AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo usiku hui Uwanja wa New A...
    MLANDEGE FC YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    MLANDEGE FC YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Mlandege FC imetinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya us Hindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars jioni ya leo Uwan...
    Wednesday, April 22, 2026
    AZAM FC YAIFUATA YANGA SC NUSU FAINALI MUUNGANO CUP

    AZAM FC YAIFUATA YANGA SC NUSU FAINALI MUUNGANO CUP

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya us Hindi wa mabao 2-0 dhidi ya KVZ FC usiku huu Uwanja wa New ...
    Tuesday, April 21, 2026
    YANGA YASHINDA 4-0 NA KWENDA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    YANGA YASHINDA 4-0 NA KWENDA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Muembe Mak...
    Sunday, April 19, 2026
    SIMBA SC YAIRARUA NAMUNGO FC 3-1 RUANGWA

    SIMBA SC YAIRARUA NAMUNGO FC 3-1 RUANGWA

    VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    Saturday, April 18, 2026
    FOUNTAIN GATE YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1 ARUSHA

    FOUNTAIN GATE YAICHAPA MTIBWA SUGAR 2-1 ARUSHA

    TIMU ya Fountain Gate FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    ALPHONCE SIMBU KUSHIRIKI MBIO ZA BOSTON MARATHON 2026

    ALPHONCE SIMBU KUSHIRIKI MBIO ZA BOSTON MARATHON 2026

    MWANARIADHA nyota wa Kimataifa wa Tanzania Sajini Alphonce Felix Simbu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anatarajiwa kushiriki mbio za Bo...
    Friday, April 17, 2026
    AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-0 CHAMAZI

    AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-0 CHAMAZI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiki hui Uwanja wa Az...
    TRA UNITED YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 ARUSHA

    TRA UNITED YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 ARUSHA

    TIMU ya TRA United imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja ...
    Thursday, April 16, 2026
    YANGA NI YA MOTO ILE MBAYA, YAITANDIKA MBEYA CITY 6-0

    YANGA NI YA MOTO ILE MBAYA, YAITANDIKA MBEYA CITY 6-0

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu U...
    MASHUJAA YATOA SARE NA SINGIDA BLACK STARS 1-1 KIGOMA

    MASHUJAA YATOA SARE NA SINGIDA BLACK STARS 1-1 KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa FC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya l...
    Wednesday, April 15, 2026
    COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1 MKWAKWANI

    COASTAL UNION YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1 MKWAKWANI

    TIMU ya Coastal Union imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwan...
    SIMBA SC YAIRARUA FOUNTAIN GATE 3-0 NA KUISOGELEA YANGA KILELENI

    SIMBA SC YAIRARUA FOUNTAIN GATE 3-0 NA KUISOGELEA YANGA KILELENI

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja ...
    Tuesday, April 14, 2026
    KMC FC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA PRISONS MWENGE

    KMC FC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA PRISONS MWENGE

    TIMU ya KMC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa K...
    Sunday, April 12, 2026
    AZAM FC NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB, YAIPIGA FOUNTAIN GATE 4-0

    AZAM FC NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CRDB, YAIPIGA FOUNTAIN GATE 4-0

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baad...
    TRA UNITED YAITUPA NJE NAMUNGO KOMBE LA CRDB, YAICHAPA 2-0 PALE PALE RUANGWA

    TRA UNITED YAITUPA NJE NAMUNGO KOMBE LA CRDB, YAICHAPA 2-0 PALE PALE RUANGWA

    TIMU ya TRA United imetinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya us...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA MBEYA CITY 5-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI CRDB

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA MBEYA CITY 5-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI CRDB

    TIMU ya Singida Black Stars imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ...
    SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CEDB

    SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA CEDB

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baa...
    Saturday, April 11, 2026
    YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KWA MBINDE KOMBE LA CRDB

    YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KWA MBINDE KOMBE LA CRDB

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki...
    COASTAL UNION NAYO YATINGA NANE BORA KOMBE LA CRDB

    COASTAL UNION NAYO YATINGA NANE BORA KOMBE LA CRDB

    TIMU ya Coastal Union imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRD...
    Friday, April 10, 2026
    Thursday, April 09, 2026
    SIMBA SC NAYO YAISHINDWA TRA UNITED ARUSHA, ZATOKA SULUHU

    SIMBA SC NAYO YAISHINDWA TRA UNITED ARUSHA, ZATOKA SULUHU

    TIMU ya Simba SC imetoa sare ya bila mabao na wenyeji, TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Shei...
    AZAM FC YATOKA SULUHU NA MBEYA CITY 0-0 BABATI

    AZAM FC YATOKA SULUHU NA MBEYA CITY 0-0 BABATI

    TIMU ya Azam FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
    Wednesday, April 08, 2026
    MUDA APIGA MBILI YANGA SC YAICHAPA PAMBA 3-0 KIRUMBA

    MUDA APIGA MBILI YANGA SC YAICHAPA PAMBA 3-0 KIRUMBA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara...
    SINGIDA BLACK STARS YAZINDUKA NA KUICHAPA KMC 1-0 AIRTEL MWIGULU

    SINGIDA BLACK STARS YAZINDUKA NA KUICHAPA KMC 1-0 AIRTEL MWIGULU

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Airtel M...
    Monday, April 06, 2026
    COASTAL CHUPUCHUPU KUCHAPWA NA MTIBWA NYUMBANI, SARE 1-1 MKWAKWANI

    COASTAL CHUPUCHUPU KUCHAPWA NA MTIBWA NYUMBANI, SARE 1-1 MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Union wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwan...
    Sunday, April 05, 2026
    AZAM FC NA SIMBA SC HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU CHAMAZI

    AZAM FC NA SIMBA SC HAKUNA MBABE, ZATOKA SULUHU CHAMAZI

    TIMU za Azam FC na Simba SC zimetoshana nguvu kwa sare ya bila mabao katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa A...
    TRA UNITED YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-0 ARUSHA

    TRA UNITED YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-0 ARUSHA

    TIMU ya TRA United imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo...
    NAMUNGO FC YAAMBULIA SARE KWA JKT TANZANIA, 2-2 RUANGWA

    NAMUNGO FC YAAMBULIA SARE KWA JKT TANZANIA, 2-2 RUANGWA

    TIMU ya Namungo FC imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja...
    Saturday, April 04, 2026
    YANGA YANG'ARA LIGI KUU, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-0 MWENGE

    YANGA YANG'ARA LIGI KUU, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 3-0 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku...
    MASHUJAA YABANWA NYUMBANI, YATOKA SULUHU NA PAMBA KIGOMA

    MASHUJAA YABANWA NYUMBANI, YATOKA SULUHU NA PAMBA KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni hii Uwanja wa...
    Friday, April 03, 2026
    MBEYA CITY YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KMC 3-2 BABATI

    MBEYA CITY YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KMC 3-2 BABATI

    TIMU ya Mbeya City imetoka nyuma na kushinda mabao 3-2 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa...
    DODOMA JIJI YAICHAPA FOUNTAIN GATE 3-0 JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA FOUNTAIN GATE 3-0 JAMHURI

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa l...
    Thursday, April 02, 2026
    SIMBA SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 UWANJA WA MEJA JENERALI ISAMUHYO

    SIMBA SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 UWANJA WA MEJA JENERALI ISAMUHYO

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga usiku huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara U...
    Wednesday, April 01, 2026
    AZAM FC YANG'ARA UGENINI, YAILAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1

    AZAM FC YANG'ARA UGENINI, YAILAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ...
    DRC YAFUZU KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUICHAPA JAMAICA 1-0

    DRC YAFUZU KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUICHAPA JAMAICA 1-0

    TIMU ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefuzu Fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya miaka kufuatia ushindi wa 1-0 d...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top