Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid leo kujiandaa na mchezo wa Kundi H, Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano dhidi ya timu yake ya zamani, Tottenham Hotspur mjini London, nchini England. Bale alitarajiwa kuikosa mechi hiyo kutokana na kuwa majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
India beat South Africa for historic first World Cup win
-
Shafali Verma scores 87 and Deepti Sharma takes five wickets as India make
history, beating South Africa by 52 runs for their first World Cup title in
Navi...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment