Aaron Ramsey akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 58 wakishinda 2-1 leo dhidi ya Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Swansea walitangulia kwa bao la Sam Clucas dakika ya 22, kabla ya Sead Kolasinac kuisawazishia Arsenal dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment